Seanice Kacungira

Mwandishi wa habari wa Uganda

Seanice Kacungira ni mtangazaji wa redio wa Uganda.

Seanice Kacungira
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
Kazi yake Mwandishi wa habari

Uzoefu wa kazi hariri

Alifanya kazi nchini Kenya kwenye shirika la habari la Capital FM na vyombo vya habari vya Uganda vikiwemo Sanyu FM, WBS na NTV.

Seanice na mdogo wake Nancy Kacungira kwa pamoja ni waanzilishi wa Blu Flamingo; kampuni ya usimamizi wa media ya dijitali.[1][2]

Tuzo hariri

Alitambuliwa kama mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa zaidi katika Biashara na Serikali barani Afrika.[3]

Maisha binafsi hariri

Ameolewa na Fabian Adeoye Lojede na ni mama wa watoto wawili.[4] Baadaye alibadilisha jina lake kuwa Seanice Lojede baada ya ndoa yake.[5]

Marejeo hariri

  1. "CEO Seanice Kacungira: How to improve your networking game". SautiTech (kwa en-US). 1 October 2018. Iliwekwa mnamo 15 April 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Seanice Kacungira on launching a Ugandan digital agency & the tipping point for online advertising". Youtube. 10 February 2014. Iliwekwa mnamo 15 April 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Kyomugisha, Mercy. "Seanice Kacungira wins Africa’s Most Influential Women in Business Award – Sqoop – Get Uganda entertainment news, celebrity gossip, videos and photos" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 15 April 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Seanice Kacungira welcomes bouncing baby girl. [Photo]". BigEye.UG (kwa en-US). 2 May 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-25. Iliwekwa mnamo 15 April 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Seanice Kacungira Is Now Married. [Photos]". BigEye.UG (kwa en-US). 1 December 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-25. Iliwekwa mnamo 15 April 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seanice Kacungira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.