Sebastian Simon Kapufi

Sebastian Simon Kapufi (amezaliwa 3 Desemba 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mpanda Mjini kwa miaka 20152020. [1] Amehitimu shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017