Seiji Inagaki(稲垣誠司, Inagaki Seiji,alizaliwa 28 Aprili 1973) ni mwanariadha mstaafu nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400 kuruka viunzi. Alishinda medali za shaba katika mbio zakpokezana ya mita 4 × 400 katika matoleo mawili ya mashindano ya ndani ya dunia ya mwaka 1993 na wachezaji wenzake Masayoshi Kan, Yoshihiko Saito na Hiroyuki Hayashi mwaka 1995 na Kan, Hayashi na Tomonari Ono. Alishiriki pia katika hafla hiyo hiyo kwenye mashindano ya dunia ya 1997 bila kufika fainali.[1]

Marejeo

hariri
  1. 1997 World Championships Official Results – 4x400 Metres Relay – Men – Semi-Final
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seiji Inagaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.