Tomonari Ono(alizaliwa Februari 7, 1974) ni mwanariadha wa zamani nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400 na 800.

Alishinda medali ya shaba katika mbio za kupokezana vijiti ya mita 4x400 katika mashindano ya ndani ya dunia huko Barcelona,Hiroyuki Hayashi, Seiji Inagaki, na Masayoshi Kan ya mwaka 1995. Pia alishinda medali ya shaba katika mashindano ya dunia ya Vijana ya mwaka 1992 katika mbio za 4x400 za kupokezana. Ono alishikilia rekodi ya Wajapani chini ya 20 katika mita 800 za ndani, kwa muda wa 1:49.09 na alikuwa bingwa wa Japani katika mbio za mita 800 ya mwaka 1994 na 1995. .[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Records". Japan Association of Athletics Federations. Iliwekwa mnamo 2020-04-22.
  2. "Japanese Championships". gbrathletics.com. Iliwekwa mnamo 2020-04-22.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomonari Ono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.