Selman Abraham Waksman (22 Julai 188816 Agosti 1973) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ukraine. Baadaye alihamia na kupata uraia wa Marekani (mwaka wa 1916). Hasa alichunguza vijiumbe vya ardhini na kugundua viua vijasumu. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Selman Waksman (1953)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selman Waksman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.