1952
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1948 |
1949 |
1950 |
1951 |
1952
| 1953
| 1954
| 1955
| 1956
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1952 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliozaliwa
hariri- 1 Februari - Roger Tsien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 22 Februari - Kipkalya Kones, mwanasiasa wa Kenya
- 25 Februari - Mohamed Said, mwandishi kutoka Tanzania
- 15 Machi - Willy Puchner, msanii kutoka Austria
- 10 Aprili - Steven Seagal, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Mei - Mary Nagu, mwanasiasa wa Tanzania
- 14 Mei - David Byrne, mwanamuziki wa Marekani
- 6 Juni - Ibrahim Lipumba, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 7 Juni - Orhan Pamuk, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2006
- 7 Juni - Liam Neeson, mwigizaji wa filamu kutoka Ireland
- 1 Julai - Brian George, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Agosti - Jostein Gaarder, mwandishi Mnorwei
- 18 Agosti - Patrick Swayze, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Agosti - Rita Dove, mshairi kutoka Marekani
- 6 Novemba - Michael Cunningham, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Novemba - Jack Szostak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009
- 9 Desemba - Ludovic Minde, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 27 Desemba - Salome Joseph Mbatia, mwanasiasa wa kike kutoka Tanzania
bila tarehe
- Yayi Boni, Rais wa Benin
- Oliver Mtukudzi, mwanamuziki wa Zimbabwe
- Charity Ngilu, mwanasiasa wa Kenya
- Venkatraman Ramakrishnan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2009
Waliofariki
hariri- 6 Februari - Mfalme George VI wa Uingereza
- 19 Februari - Knut Hamsun, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1920
- 22 Februari - Kaarlo Juho Stahlberg, Rais wa Ufini
- 4 Machi - Charles Scott Sherrington, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932
- 6 Mei - Maria Montessori, daktari na mwalimu kutoka Italia
- 18 Agosti - Mtakatifu Alberto Hurtado, padre Mkatoliki kutoka Chile
- 29 Septemba - George Santayana, mwanafalsafa na mwandishi kutoka Hispania na Marekani
- 30 Septemba - Viscount Waldorf Astor
- 28 Oktoba - Billy Hughes, Waziri Mkuu wa Australia
- 9 Novemba - Chaim Weizmann, Rais wa Israel
- 18 Novemba - Paul Eluard, mshairi Mfaransa
- 26 Novemba - Sven Hedin, mpelelezi wa Asia ya Kati kutoka Sweden
Wikimedia Commons ina media kuhusu: