Semi Ajayi
Oluwasemilogo Adesewo Ibidapo "Semi" Ajayi (amezaliwa 9 Novemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayecheza kama beki au kiungo wa kati wa klabu ya West Bromwich Albion na timu ya taifa ya Nigeria.[1]
Mafanikio
haririRotherham United
- EFL League One play-offs: 2018[2]
- EFL Championship Player of the Month: Machi 2019
Marejeo
hariri- ↑ "Semi Ayaji: Eurosport". Eurosport.com.
- ↑ Scott, Ged (27 Mei 2018), Rotherham United 2–1 Shrewsbury Town, BBC Sport, https://www.bbc.co.uk/sport/football/44186999, retrieved 27 Mei 2018
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Semi Ajayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |