Serge Latouche
Serge Latouche (alizaliwa 12 Januari 1940) ni profesa mstaafu wa uchumi wa Ufaransa katika Chuo Kikuu cha Paris-Sud. Ana shahada katika sayansi ya siasa, katika falsafa na katika uchumi.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Serge Latouche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |