Serge Wawa (alizaliwa Bingerville, Ivory Coast, 1986) ni mchezaji wa soka ambaye kwa sasa anacheza kama beki wa katikati katika ligi ya Tanzania, anayeichezea klabu ya Simba S.C.

Mchezaji huyu amekuwa maarufu katika nchi ya Tanzania kutokana na umahiri wake katika Ligi ya Tanzania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Serge Wawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.