Serie A
Serie A ni ligi kuu kati ya timu za soka zilizopo nchini Italia na mshindi anapata ubingwa wa Italia.
Serie A ni kati ya ligi zenye ushindani mkubwa duniani na ilikuwa ligi bora duniani mwaka 2014.
Ilianzishwa mnamo mwaka 1929 ikiwa na timu 16 na sasa ina timu 20.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Serie A kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |