Shauri (kipaji)
Shauri kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kuangaziwa na Roho Mtakatifu katima maamuzi kuhusu mambo yake na ya wengine.
Shauri ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotuelekeza kuchagua siku zote mambo yenye kufaa zaidi kwa sifa ya Mungu na kwa wokovu wetu.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shauri (kipaji) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |