Shazam!
(Elekezwa kutoka Shazam! (film))
Shazam! ni filamu ya Marekani ya mwaka 2019 iliyoongozwa na David F. Sandberg.
Wahusika wakuu wa filamu hii ni Asher Angel kama Billy Batson, Mark Strong, Jack Dylan Grazer na Djimon Hounsou.
Filamu hii inamuhusu kijana mmoja mdogo aitwae billy aliyepata nguvu za ajabu na hizo nguvu humbadilisha na kuwa mkubwa na kuanza kusaidia watu.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shazam! kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |