Shemasi mkuu (kwa Kiingereza: Archdeacon) ni cheo cha Kikanisa katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo. Kiko chini ya askofu lakini juu ya vyeo vingine vingi vya kleri[1]

Shemasi wa kwanza Vladimir Nazarkin (kushoto) na shemasi mkuu Andrei Mazur wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi katika maandamano.

Mara nyingi nafasi hiyo imefananishwa na ile ya jicho (kwa Kilatini: oculus episcopi, jicho la askofu).[2].

Tanbihi hariri

  1. Cross, FL, mhariri (1957), The Oxford Dictionary of the Christian Church, London: Oxford University Press, uk. 79 .
  2. [1]

Viungo vya nje hariri

 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shemasi mkuu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.