Maandamano (kutoka kitenzi "andaa" kilichonyambuliwa kwa viambishi -ma- na -na-; kwa Kiingereza procession, kutoka Kilatini processio, pia cortege) ni kundi la watu wanaotembea pamoja kwa utaratibu maalumu.

Maandamano ya kifalme
Maandamano ya mazishi, mchoro mdogo wa karne ya 15, British Museum.
Wakleri Waorthodoksi wa Ethiopia wakiongoza maandamano ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu.

Yametumika nyakati zote na mahali pote kwa ajili ya ibada, siasa n.k. inavyoonekana k.mf. katika michoro mingi ya zamani, hasa ya mazishi na ya kushangilia ushindi vitani.

Siku hizi yanafanyika pia kwa kutoa hoja na kudai haki.

Tanbihi

hariri
 
Maandamano ya mazishi ya malkia Keopuolani wa visiwa vya Sandwich.
 
Maandamano ya Pasaka ya Kikristo huko Malaga, Hispania.

Marejeo

hariri
  • Serrarius, N. (1607) Sacri peripatetici, sive in Sacris Ecclesiae Catholicae processionibus libri duo. Cologne
  • Gretser, Jakob (1608) De Catholicae Ecclesiae sacris processionibus & supplicantibus libri duo. Cologne: H. Mylius
  • Dunlop, C. (1932) Processions. London: Alcuin Club
  • Cairncross, Henry; Lamburn, E. C. R. & Whatton, G. A. C., comps. (1935) Ritual Notes: a comprehensive guide to the rites and ceremonies of the Book of Common Prayer of the English Church; 8th ed. London: W. Knott; pp. 104–09

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maandamano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.