Shepherd Moons
Shepherd Moons ni albamu ya kutoka kwa mwanamuziki Enya, iliyotolewa mnamo 4 Novemba 1991. Ilishinda tuzo ya Grammy Award:"Grammy Award for Best New Age Album" mnamo 1993. Ilikuwa #1 nchini Uingereza na kwenye chati ya Top 20 nchini Marekani, ikifika namba 17 kwenye chati ya Billboard 200. Albamu hii ilipata mafanikio kwa kuuza nakala milioni 13 kote duniani.[1]
Shepherd Moons | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya Shepherd Moons.
|
|||||
Studio album ya Enya | |||||
Imetolewa | 4 Novemba 1991 | ||||
Imerekodiwa | 1989 - 1991 | ||||
Aina | New Age, Celtic | ||||
Urefu | 43:09 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Epic, 550 | ||||
Mtayarishaji | WEA, Warner Music UK (Europe) Reprise, Warner Bros. |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Enya | |||||
|
Nyimbo zake
hariri- "Shepherd Moons" – 3:42
- "Caribbean Blue" – 3:58
- "How Can I Keep from Singing?" – 4:23
- "Ebudæ" – 1:54
- "Angeles" – 3:57
- "No Holly for Miss Quinn" – 2:40
- "Book of Days" – 2:32[2]
- "Evacuee" – 3:50
- "Lothlórien" – 2:08
- "Marble Halls" – 3:53
- "Afer Ventus" – 4:05
- "Smaointe..." – 6:07
Thibitisho na mauzo
haririNchi | Namba | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|---|
Australia | 3x Platinum | 230,000 | |
Austria | 31 | ||
Brazil | Platinum[3] | 285,000+ | |
Canada | 3x Platinum[4] | 320,000+ | |
Ufaransa | Gold | ||
Ujerumani | Gold[5] | ||
Hungary | 35 | ||
Netherlands | 2x Platinum[6] | 170,000+ | |
New Zealand | 39 | ||
Norway | 2 | ||
Spain | 3 | 5x Platinum | 550,000+ |
Sweden | 5 | ||
Uswizi | 13 | Gold[7] | 30,000+ |
Uingereza | 1 | 4x Platinum[8] | 1,300,000+ |
Marekani | 17 | 5x Platinum[9] | 5,800,000+ |
Wafanyi kazi
hariri- Enya – percussion, keyboards, vocals, piano
- Andy Duncan – percussion
- Roy Jewitt – clarinet
- Liam O'Flynn – uillean pipes
- Nicky Ryan – additional percussion
- Steve Sidwell – cornet
Utayarishaji
hariri- Producer: Nicky Ryan
- Executive Producer: Rob Dickins
- Engineers: Gregg Jackman, Nicky Ryan
- Assistant engineer: Robin Barclay
- Mixing: Gregg Jackman, Nicky Ryan
- Arranger: Enya, Nicky Ryan
- Photography: David Scheinmann
- Wardrobe by The New Renaissance
Chati
haririAlbum
Mwaka | Chati | Namba |
---|---|---|
1991 | The Billboard 200 (US) | 15 |
1991 | Top New Age Albums (US) | 1 |
1991 | Official Album Chart (UK) | 1 |
Singles
Mwaka | Single | Chati | Namba |
---|---|---|---|
1991 | "Caribbean Blue" | Modern Rock Tracks (US) | 2 |
1992 | "Caribbean Blue" | Adult Contemporary (US) | 24 |
1992 | "Caribbean Blue" | The Billboard Hot 100 (US) | 72 |
1991 | "Caribbean Blue" | Official Singles Chart (UK) | 10 |
1991 | "How Can I Keep From Singing?" | Official Singles Chart (UK) | 29 |
1992 | "Book Of Days" | Official Singles Chart (UK) | 8 |
Tuzo
haririGrammy Awards
Mwaka | Mshindi | Tuzo |
---|---|---|
1993 | Shepherd Moons | Grammy Award for Best New Age Album |
Marejeo
hariri- ↑ http://blogremembermusic.blogspot.com/2009/11/enya.html
- ↑ Early editions of the album included a version of Book of Days with Gaelic lyrics. Later editions substituted a new recording with English language lyrics recorded for the soundtrack of the film, Far and Away.
- ↑ "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-15. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "IFPI Germany". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-28. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ IFPI Switzerland
- ↑ "BPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Billboard “Ask Billboard”