Shibuli ni mji wa Kenya Magharibi katika kaunti ya Kakamega. Uko kilometa 12 magharibi kwa Kakamega na 20 mashariki mwa Mumias.

Shibuli
Nchi Kenya
Kaunti Kakamega