Kaunti ya Kakamega
Kaunti ya Kakamega ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,867,579 katika eneo la km2 3,020, msongamano ukiwa hivyo wa watu 618 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Kakamega.
Utawala
haririKaunti ya Kakamega imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
- Butere 154,100
- Kakamega Central 188,212
- Kakamega East 167,641
- Kakamega North 238,330
- Kakamega South 111,743
- Khwisero 113,476
- Likuyani 152,055
- Lugari 122,728
- Matete 66,172
- Matungu 166,940
- Mumias East 116,851
- Mumias West 115,354
- Navakholo 153,977
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Kakamega-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |