Shinya Yajima (alizaliwa 18 Januari 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambaye anachezea Shimizu S-Pulse kwenye Ligi ya J2. Hapo awali amewahi kuzichezea Urawa Red Diamonds na Fagiano Okayama. Nafasi yake ya kawaida ya kucheza ni kiungo. . [1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Shinya Yajima Soccerway Player Statistics".
  2. "Shinya Yajima Gamba Osaka Player Profile".
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shinya Yajima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.