Shirikisho Party

(Elekezwa kutoka Shirikisho Party of Kenya)

Shirikisho Party of Kenya ni chama cha kisisasa nchini Kenya iliyoundwa kabla ya uchaguzi wa 1997 na kuwa na athira katika eneo la Mkoa wa Pwani.

2002 kilipata kiti cha Magarini.

Kabla ya uchaguzi wa 2007 chama kikajiunga na maungano ya PNU ya rais Mwai Kibaki [1] laikini lishindwa kumpata mbunge hata mmoja [2].

Viungo vya Nje

hariri
  1. BBC News, 16 Septemba 2007: Kenya president eyes re-election.
  2. EA Standard, 30 Desemba 2007: Shirikisho fails to win seats in its stronghold.