Shizuoka, Shizuoka

mji mkuu wa Jimbo la Shizuoka, Japani

Shizuoka (静岡市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Shizuoka. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 720 000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Shizuoka
Shizuoka
Bendera ya Shizuoka
Bendera
Nchi Japani
Kanda Chūbu
Mkoa Shizuoka
Idadi ya wakazi
 - 717 532
Tovuti: www.city.shizuoka.shizouka.jp

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shizuoka, Shizuoka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.