Sho Naruoka (alizaliwa Mei 31, 1984) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kwa mara ya mwisho katika klabu ya Fujieda MYFC.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Albirex Niigata website. January 7, 2013
  2. "MF成岡、現役引退 J3藤枝MYFC". at-s.com.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sho Naruoka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.