Shota Hara (原 翔太, Hara Shōta,alizaliwa 18 Julai 1992 huko Ina, Nagano) ni mwanariadha wa mbio za mita 200 nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 200, ndiye bingwa wa Kitaifa wa mwaka 2014 katika hafla hiyo na ana sekunde 20.33 bora zaidi. Pia ana sekunde 10.13 katika mita 100 na lishiriki katika Michezo ya Asia ya mwaka 2014 na Mashindano ya Asia ya mwaka 2015.[1]

Mafanikio Binafsi

hariri
Tukio Mda wa kumaliza (s) Michuano Uwanja Tarehe
100m 10.13 (wind: +1.9m/s) Fuse Sprint Tottori, Japan 4 June 2017
200m 20.33 (wind: +1.8m/s) National Championships Nagoya, Japan 26 June 2016

Mashindano ya Kimataifa

hariri
Mwaka Michuano Mahali Nafasi aliyopo Tukio Mda (s)
Anaiwakilisha   Japan
2014 Asian Games Incheon, South Korea 5th 200m 20.89 (wind: +0.3m/s)
3rd (h) 4×100m relay 39.18 (relay leg: 4th)
2015 Asian Championships Wuhan, China 7th 200m 21.16 (wind: +1.0m/s)
2016 DécaNation Angers, France 2nd 200m 20.63 (wind: -0.4m/s)
2017 DécaNation Angers, France 2nd 200m 20.65 (wind: +0.4m/s)

Mashindano ya Kitaifa

hariri
Mwaka Michuano Mahali Tukio Mda (s)
Anaiwakilisha Jobu University
2014 National Championships Fukushima, Fukushima 200m 20.62 (wind: +0.9m/s)


Marejeo

hariri
  1. https://www.worldathletics.org/athletes/japan/shota-hara-14591156%7Ctitle=Profile%7Cwebsite=World Athletics|access-date=15 November 2020}}
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shota Hara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.