Shule ya Sekondari ya Sawagongo
Sawagongo High School ni shule ya sekondari ya wavulana ya Kikristo inayopatikana katika kaunti ya Siaya nchini Kenya.
Wanafunzi maarufu
hariri- Ambrose Adeya Adongo
- Joe Ageyo, mwandishi wa runinga ya Kenya Television Network (KTN)
- Opiyo Wandayi, mbunge
- Edwin Abonyo
- Patrick Lino Onyango
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Sekondari ya Sawagongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |