Kaunti ya Siaya
Kaunti ya Siaya ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 993,183 katika eneo la km2 2,529.8, msongamano ukiwa hivyo wa watu 393 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Siaya.
Utawala
haririKaunti ya Siaya imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
- Siaya 224,343
- Gem 179,792
- Ugenya 134,354
- Ugunja 104,241
- Bondo 197,883
- Rarieda 152,570
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Siaya-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Siaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |