Sibylle Bergemann
Sibylle Bergemann (29 Agosti 1941 – 1 Novemba 2010) alikuwa mpiga picha wa Ujerumani. Mwaka 1990, alianzisha wakala wa wapiga picha wa Ostkreuz. Anakumbukwa kwa kurekodi maendeleo huko Berlin wakati wa enzi ya Kikomunisti na kwa kazi zake za kimataifa katika gazeti la Stern na baadaye katika gazeti la GEO.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Kicken Berlin | Sibylle Bergemann". www.kicken-gallery.com. Iliwekwa mnamo 11 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sibylle Bergemann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |