Sikiru Adesina
Muigizaji na muongozaji wa filamu nchini nigeria
Sikiru Adesina (anajulikana zaidi kama Arakangudu; 1971 - 8 Februari 2016) alikuwa muandaaji, muongozaji na muigizaji wa Nigeria[1] alikuwa ni muigizaji bora akiigiza kama jambazi na mwizi katika filamu.[2] Alifariki katika makazi yake katika mji wa Kaduna.
Filamu
hariri- Temi Ni, Tie Ko
- Agbede Ogun
- Idunnu Mi
- Ilu Gangan
- Ogbologbo
- Iya Oju Ogun
- Ere Agbere
- Agbede Ogun
- Agba Osugbo
- Aje Olokun
- Iya Oko Bournvita
- Igba Owuro
- Ayaba Oosa
- Ajana oro
- Fijabi
- Oju Odaran Re
- Basira Badi
- Ogunmola bashorun ibadan
Marejeo
hariri- ↑ Adeniji, Gbenga. "Arakangudu dies, for burial Wednesday", The Punch Newspaper, 10 February 2016. Retrieved on 10 February 2016.
- ↑ Ajasa, Femi. "Stakeholders mourn Arakangudu, Yoruba veteran actor", Vanguard Newspaper, 10 February 2016. Retrieved on 10 February 2016.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sikiru Adesina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |