Simone Magill
Simone Magill (alizaliwa 1 Novemba 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland ya Kaskazini ambaye anachezea Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake UIngereza (WSL) na timu ya taifa Ireland Kaskazini[2]
Marejeo
hariri- ↑ "NI footballer Simone Magill reveals wedding joy as she shares first picture of happy north coast nuptials", BelfastTelegraph.co.uk (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2021-06-13, ISSN 0307-1235, iliwekwa mnamo 2024-04-25
- ↑ Gareth Fullerton (2017-10-07). "Northern Ireland striker recognised for scoring fastest goal ever!". Belfast Live (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-25.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simone Magill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |