Singida (mji)

Singida ni manisipaa nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Singida yenye msimbo wa posta 43100[1]. Eneo lake ni wilaya ya Singida Mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 150,379 [2].

Singida
Singida is located in Tanzania
Singida
Singida
Mahali pa mji wa Singida katika Tanzania
Majiranukta: 4°49′12″S 34°44′24″E / 4.82°S 34.74°E / -4.82; 34.74
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Singida Mjini
Idadi ya wakazi
 - 150,379


MarejeoEdit


  Kata za Wilaya ya Singida Mjini - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Ipembe | Kindai | Majengo | Mandewa | Minga | Misuna | Mitunduruni | Mtamaa | Mtipa | Mughanga | Mungumaji | Mwankoko | Uhamaka | Unyambwa | Unyamikumbi | Utemini


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Singida (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.