Wilaya ya Singida

(Elekezwa kutoka Singida Vijijini)

Wilaya ya Singida ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Singida (Tanzania) yenye msimbo wa posta 43200.

Mahali pa Singida Vijijini (kijani cheusi) katika mkoa wa Singida.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 401,850 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 284,895 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Singida Vijijini - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Ikhanoda | Ilongero | Itaja | Kijota | Kinyagigi | Kinyeto | Maghojoa | Makuro | Merya | Mgori | Mrama | Msange | Msisi | Mtinko | Mudida | Mughamo | Mughunga | Mwasauya | Ngimu | Ntonge | Ughandi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Singida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.