Kinyagigi ni kata ya Wilaya ya Singida Vijijini katika Mkoa wa Singida, Tanzania, yenye msimbo wa posta 43208.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 11,695 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,409 waishio humo.[2]

Katika kata hiyo kuna shule moja ya sekondari iitwayo Nyeri Sekondari School na shule nne za msingi, shule moja kwa kila kijiji.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Singida Vijijini - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Ikhanoda | Ilongero | Itaja | Kijota | Kinyagigi | Kinyeto | Maghojoa | Makuro | Merya | Mgori | Mrama | Msange | Msisi | Mtinko | Mudida | Mughamo | Mughunga | Mwasauya | Ngimu | Ntonge | Ughandi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kinyagigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.