Single Ladies (Put a Ring on It)
"Single Ladies (Put a Ring on It)" ni wimbo wa mwimbaji wa R&B wa Kimarekani Bi. Beyoncé Knowles. Wimbo ulitungwa na kutayarishwa na Christopher Stewart, Terius Nash, Kuk Harrell na Knowles mwenyewe kwa ajili ya albamu yake ya tatu ya I Am... Sasha Fierce kwa mwaka wa (2008).
“Single Ladies (Put a Ring on It)” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Beyoncé kutoka katika albamu ya I Am... Sasha Fierce | |||||
Imetolewa | 8 Oktoba 2008 (Radio) | ||||
Aina | Rhythm and blues • Dance-pop | ||||
Urefu | 3:15 (wersja na albumie) 3:08 (sticky radio version) 2:55 (orginal 7" Edit) | ||||
Studio | Columbia Records | ||||
Mtunzi | Christopher "Tricky" Stewart • The-Dream • Beyoncé Knowles • Thaddis "Kuk" Harrell | ||||
Mtayarishaji | The-Dream • Christopher "Tricky" Stewart • Knowles | ||||
Mwenendo wa single za Beyoncé | |||||
|
Muundo na orodha ya nyimbo hariri
Digital Remix EP [1]
US Promo Remixes EP
|
CD Single
UK CD Single
UK Promo CD Single
|
Chati zake hariri
Marejeo hariri
- ↑ https://www.masterbeat.com/#release/bsingle Digital Remix EP