Sinqua Walls

(Elekezwa kutoka Siqua Walls)

Sinqua Walls (alizaliwa Aprili 6, 1985) ni mwigizaji wa Marekani na mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu wa chuo wa Cal Poly Pomona na Chuo Kikuu cha San Francisco.

Sinqua Walls
Sinqua Walls
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sinqua Walls kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.