Sita ni namba ambayo inafuata tano na kutangulia saba. Kwa kawaida inaandikwa 6 lakini VI kwa namba za Kiroma na ٦ kwa zile za Kiarabu.

Mabadiliko katika kuandika sita.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3.

Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sitini (sita mara kumi).

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.