Snura Anton Mushi
Muigizaji thabiti wa kike
Snura Anton Mushi (alizaliwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam mwaka 1984 ni mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania. [1]
Snura Anton Mushi | |
Amezaliwa | 1984 Dar es salaam |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mwigizaji wa Filamu |
Elimu
haririMwaka 1991 alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Yombo Vituka jijini Dar es Salaam.
Alipomaliza darasa la saba hakuendelea kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.
Shughuli
haririMwaka 2006 aliaanza kazi ya usanii katika filamu ya Mfalme Seuta iliyo directiwa na Director’ wa Mwananchi Production anayeitwa Gumbo Kihorota na baadaye alicheza filamu kama Zinduna na Hitimisho.
Mwaka 2007 alijiunga na Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuzi’ ndipo akajiunga na Jumba la Dhahabu na nyinginezo. [2]
Pia baadae alianza rasmi kuingia kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya
Baadhi ya filamu alizoigiza
hariri- 1. Mfalme Seuta
- 2. Zinduna
- 3. Hitimisho
- 4. Jumba la Dhahabu
Baadhi ya nyimbo alizoimba
haririTanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-09. Iliwekwa mnamo 2018-11-17.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-09. Iliwekwa mnamo 2018-11-17.
- ↑ https://www.youtube.com/watch?v=UUekvJqE8A4
- ↑ https://www.youtube.com/watch?v=oWhh1MRD10Q
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-28. Iliwekwa mnamo 2018-11-17.
- ↑ https://www.youtube.com/watch?v=Yc8sXodihzo
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-14. Iliwekwa mnamo 2018-11-17.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-07. Iliwekwa mnamo 2018-11-17.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Snura Anton Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |