Sofia Lugo ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Danay Garcia. Uhusika ulitambulishwa kuwa kama moja kati ya wahusika pale ilipofikia katika msimu wa tatu wa mfululizo huu. Sofia Lugo ni msichana wa James Whistler aishie huko mjini Panama. Ingawa, kwa kila mfululizo jinsi ulivyokuwa ukiendelea, mahusiano yao yakawa ayanakufa taratibu na mama naye akaangukia kimapenzi kwa Lincoln Burrows.

Uhusika wa Prison Break
Faili:Pb Sofia Lugo.jpg
Sofia Lugo
Mwonekano wa kwanza: Orientación
Msimu: 3,4
Imechezwa na: Danay Garcia
Mahusiano: James Whistler (bwana wake zamani) Lincoln Burrows (bwana wake aliopo)

Viungo vya nje

hariri