Open main menu

Software (programu tete) ni mkusanyo wa maelezo yasiyo tendaji yaliyotunzwa katika kumbukumbu ya tarakilishi ili kuweza kuchakata takwimu fulani pindi itakapohitajika kufanya hivyo.

Mfano wa programu tete ni Mifumo tendaji (Os) na Kamusi Kuu ya Kiswahili.