Soko huria
Soko huria linatazamwa na wengi kama aina ya mfumo wa uchumi ambamo bei ya bidhaa na huduma haipangwi na serikali, bali inatokana na haja za wanunuzi na wingi wa hizo bidhaa au huduma.
Hata hivyo wengine wanasisitiza kwamba mara nyingi utaratibu huu hautendi haki kwa sababu uwezo wa muuzaji na mnunuzi ni tofauti, pengine sana, hivyo aliye dhaifu kiuchumi analazimika kukubali bei iliyopangwa na upande wa pili. Kwa msingi huo, soko si huria kabisa.
Kwa kawaida watetezi wa mfumo huo ni wafuasi wa ubepari.
TanbihiEdit
MarejeoEdit
- Block, Fred and Somers, Margaret R (2014). The Power of Market Fundamentalism: Karl Polanyi's Critique. Harvard University Press. ISBN 0674050711Script error: No such module "check isxn".
- Boettke, Peter J. "What Went Wrong with Economics?", Critical Review Vol. 11, No. 1, pp. 35, 58
- Harcourt, Bernard (2012). The Illusion of Free Markets: Punishment and the Myth of Natural Order. Harvard University Press. ISBN 0674066162Script error: No such module "check isxn".
- Cox, Harvey (2016). The Market as God. Harvard University Press. ISBN 9780674659681Script error: No such module "check isxn".
- Hayek, Friedrich A. (1948). Individualism and Economic Order. Chicago: University of Chicago Press. vii, 271, [1]
- Palda, Filip (2011) Pareto's Republic and the New Science of Peace 2011 [1] chapters online. Published by Cooper-Wolfling. ISBN 978-0-9877880-0-9Script error: No such module "check isxn".
- Sandel, Michael J. (2013). What Money Can't Buy: The Moral Limits of Markets. Farrar, Straus and Giroux. ISBN 0374533652Script error: No such module "check isxn".
- Stiglitz, Joseph. (1994). Whither Socialism? Cambridge, Massachusetts: MIT Press.
- Verhaeghe, Paul (2014). What About Me? The Struggle for Identity in a Market-Based Society. Scribe Publications. ISBN 1922247375Script error: No such module "check isxn".
Viungo vya njeEdit
- Free Enterprise: The Economics of Cooperation Archived Januari 13, 2007 at the Wayback Machine. Looks at how communication, coordination and cooperation interact to make free markets work
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soko huria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |