Solapur ni jiji la jimbo la Maharashtra nchini Uhindi lenye wakazi karibu milioni 1 (2011). Ni mji mkubwa wa hamsini na moja nchini Uhindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Solapur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.