Song Jae-rim
Song Jae-rim (Korean: 송재림; alijulikana kama Song Jae-lim, 18 Februari 1985 – 12 Novemba 2024) alikuwa mwigizaji na modeli kutoka Korea Kusini.
Alianza kazi yake kama modeli na baadaye akawa mwigizaji katika mfululizo wa tamthilia za K-drama. Alifariki ghafla mnamo mwaka 2024 akiwa na umri wa miaka 39, bila dalili zozote za maradhi. [1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Frater, Patrick (Novemba 13, 2024). "Song Jae-lim, South Korean Actor, Dies at 39". Variety. Iliwekwa mnamo Novemba 13, 2024.
{{cite magazine}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ewe, Koh. "South Korean actor Song Jae Lim dead at 39", November 13, 2024.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Song Jae-rim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |