Wilaya ya Songea ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Ruvuma.

Mahali pa Songea Vijijini (kijani) katika mkoa wa Ruvuma.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 147,924 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 178,201 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Songea Vijijini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Kilagano | Kizuka | Liganga | Lilahi | Litapwasi | Litisha | Magagula | Maposeni | Matimira | Mbinga Mhalule | Mpandangindo | Mpitimbi | Muhukuru | Ndongosi | Parangu | Peramiho


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Songea Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.