Sophie Baggaley

Kipa wa chama cha soka cha Uingereza (Aliyezaliwa 1996)

Sophie Baggaley (alizaliwa 29 Novemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama goli kipa katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa ya Uingereza.[1][2]

Baggaley mnamo 2022

Marejeo

hariri
  1. http://www.derbyshiresport.co.uk/sophie-baggaley-football-from-ne
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2024-09-17.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sophie Baggaley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.