Soskice
jina la ukoo
Soskice ni jina la Ukoo. Watu mashuhuri walio na jina hlo la ukoo ni pamoja na:
- David Soskice (aliyezaliwa 1942), mwanauchumi wa kisiasa wa Uingereza na msomi
- Frank Soskice (aliyezaliwa 1902- kufariki 1979), mwanasheria wa Uingereza na mwanasiasa
- Janet Soskice (aliyezaliwa 1951), mwanatheolojia na mwanafalsafa wa Uingereza
- Juliet Soskice (aliyezaliwa 1881-kufariki 1944), mfasiri na mwandishi wa Uingereza