Soufiane El Bakkali

Soufiane El Bakkali (amezaliwa 7 Januari 1996) ni mwanariadha wa kiume kutoka Moroko anayekimbia mbio za kuruka viunzi. Aliwakilisha nchi yake kwenye Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2016 na 2020.[1][2]

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  1. Soufiane El Bakkali Archived 22 September 2016 at the Wayback Machine. Rio2016. Retrieved on 19 August 2016.
  2. 2014 African Championships in Athletics Results Archived 3 March 2016 at the Wayback Machine. Marrakech2014. Retrieved on 19 August 2016.