Paoneaanga pa Sphinx

(Elekezwa kutoka Sphinx Observatory)

Paoneaanga pa Sphinx ni paoneaanga palipo juu ya mlima Jungfraujoch nchini Uswisi. Kituo hiki kinapatikana katika meta 3,571 juu ya usawa wa bahari.

Kituo cha astronomia cha Sphinx.

Kimepewa jina la Sphinx, kutokana na mkutano wa mawe mahali kilipo.

Kituo hiki kimetumika pia kuigizia katika filamu kama The Grand Budapest Hotel na Krrish 3.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.