St. John's (Antigua na Barbuda)
(Elekezwa kutoka St. John's, Antigua and Barbuda)
St John's ni mji mkuu wa Antigua na Barbuda katika Antili Ndogo za Bahari ya Karibi (Amerika ya Kati). Mji uko kwenye kisiwa cha Antigua. Kuna wakazi 24,226 (mwaka 2000) hivyo ni pia mji mkubwa kabisa wa nchi ndogo.
St. John's | |
Nchi | Antigua na Barbuda |
---|
Viungo vya Nje
hariri- Ramani ya St. John's kwa Caribbean-On-Line.com
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu St. John's (Antigua na Barbuda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |