Stanley Enow

Mwimbaji wa rap wa Kamerun

Stanley Ebai Enow (amezaliwa 2 Agosti 1985) ni rapa, mtangazaji wa redio na TV, na mwigizaji wa Kameruni. Ndiye mmiliki mwenza wa lebo ya rekodi, Motherland Empire. [1] [2] Enow anafahamika zaidi kwa wimbo wake wa 2013 "Hein Père". Alikuwa Mkameruni wa kwanza kushinda katika kitengo cha Best New Act katika Tuzo za Muziki za MTV Afrika za 2014 . [3][4][5]

Mahojiano ya Enow na NdaniTV
Mahojiano ya Enow na NdaniTV

Marejeo hariri

  1. "Stanley Enow : Hein Père !" (kwa French). Auletch.com. 5 May 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 June 2014. Iliwekwa mnamo 6 June 2014.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. La Rédaction (19 April 2013). "Stanley ENOW : " Soldier like ma papa " est destiné à changer l'atmosphère Hiphop kamer" (kwa French). CulturEbene. Iliwekwa mnamo 6 June 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "2014 MTV Africa Music Awards Kwazulu-Natal | Vote". Mama.mtv.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 June 2014. Iliwekwa mnamo 6 June 2014.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Stanley Enow : Hein Père !". web.archive.org. 2014-06-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-06-06. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  5. "Stanley ENOW : « Soldier like ma papa » est destiné à changer l’atmosphère Hiphop kamer". Culturebene (kwa fr-FR). 2013-04-19. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Enow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.