Stanley Prusiner (amezaliwa 28 Mei, 1942) ni mwanakemia na daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza prioni. Mwaka wa 1997 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Stanley Prusiner
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Prusiner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.