Steal (pia inajulikana kama Riders) ni filamu ya aksheni ya 2002 iliyochezwa na Stephen Dorff, Natasha Henstridge, Bruce Payne na Steven Berkoff. Filamu iliongozwa na Gérard Pirès na kutungwa na Mark Ezra na Gérard Pirès.

Steal
Imeongozwa na Gérard Pirès
Imetungwa na Mark Ezra
Gérard Pirès
Nyota Stephen Dorff
Natasha Henstridge
Bruce Payne
Steven Berkoff
Imetolewa tar. 2002
Ina muda wa dk. 83 minites
Nchi Ufaransa
Uingereza
Kanada
Lugha Kiingereza

Hadithi

hariri
 
Bruce Payne kama Lt Macgruder

Slim, Frank, Otis na Alex ni kundi la vijana wanaojishuighulisha na masuala ya wizi wa benki kwa kutumia uvumbuzi wa hali ya juu mno kama kuendesha ubao wa kutelezea (skate board). Kundi linakwepa kukumatwa na Polisi, -naongozwa na Luteni Macgruder, na kupanga kuiba kuthubu kuiba tena zaidi. Lakini kuna mtu asiyejulikana anaonekana kuwajua kuwa wao ni kina nani na kuwatishia kwamba wasipo mpa kitu kidogo atawachowa kwa Polisi - kwa maana hiyo waibe kwa ajili yake. Baadaye, Mafia linalowakilishwa na mlazimishaji Surtayne analipa maelekezo kundi namna ya kufanya vinginevyo watauawa. Punde kundi limebadilisha kibao kwa mtu mmoja asiyejulikana (ambaye aligundulika kuwa ni Luteni Macgruder) na Mafia walitoroka na mihela yote ya kazi yao ya mwisho.

Washiriki

hariri

Mapokezi

hariri

Imekadiriwa kwa asilimia 29% kwenye tahakiki za filamu katika tovuti ya Rotten Tomatoes.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Steal (2005)". Rotten Tomatoes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-15. Iliwekwa mnamo 2009-08-01.

Viungo vya Nje

hariri
  • Steal katika Internet Movie Database
  • Steal katika Rotten Tomatoes