Stefanie DeLeo
Stefanie DeLeo (alizaliwa Aprili 22, 1982 ni mwandishi na mtunzi wa tamthilia wa Marekani anayejulikana hususani katika tamtilia yake aliyoweza kuichapisha ikihusiana na Usonji, “Worth a thousand words” ikimaanisha thamani ya maneno elfu moja iliyochapishwa mnamo mwaka 2010 kupitia toleo la JAC NEED publishers[1]. Septemba 2017, alichapishwa katika toleo la the Newest Soup for the Soul: Dreams and the unexplainable.
Pia ni mwandishi wa Cry My Safari[2] na tamthilia ya kuchekesha ya Answer the Question, Iris[3] na mwandishi mchangiaji kwenye kitabu cha maandalizi cha SAT.[4] Kwa kuongezea amekuwa ni mwanablogu mgeni kwenye Melibee Global, ikionyeshwa katika muda wake ughaibuni.[5]Stefaine pia amerudi kuwa ni peace corps akiwa ameishi na kufanya kazi katika mji wa Afrika Kusini wa Kuruman kwa miaka miwili na nusu, ambapo ameainishwa kama mkazi mashuhuri.
Marejeo
hariri- ↑ "LAS VEGAS SANDS CORP., a Nevada corporation, Plaintiff, v. UKNOWN REGISTRANTS OF www.wn0000.com, www.wn1111.com, www.wn2222.com, www.wn3333.com, www.wn4444.com, www.wn5555.com, www.wn6666.com, www.wn7777.com, www.wn8888.com, www.wn9999.com, www.112211.com, www.4456888.com, www.4489888.com, www.001148.com, and www.2289888.com, Defendants". Gaming Law Review and Economics. 20 (10): 859–868. 2016-12. doi:10.1089/glre.2016.201011. ISSN 1097-5349.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ "The Amazon Infrastructure", Four Shades of Gray, The MIT Press, 2022, iliwekwa mnamo 2022-08-07
- ↑ "The Search for School Factors", Disaffection From School (RLE Edu M), Routledge, ku. 104–119, 2012-05-04, ISBN 978-0-203-12662-2, iliwekwa mnamo 2022-08-07
- ↑ Osborne, Paul (2009). LD SAT study guide. New York, N.Y.: Alpha. ISBN 978-1-59257-887-0. OCLC 268794903.
- ↑ "Search Results for "stefanie deleo" – MelibeeGlobal.com". melibeeglobal.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stefanie DeLeo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |