22 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 22)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Aprili ni siku ya 112 ya mwaka (ya 113 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 253.
Matukio
hariri- 1073 - Uchaguzi wa Papa Gregori VII
- 1500 - Pedro Alvares Cabral ni Mreno wa kwanza kufika mwambao wa Brazil itakayokuwa koloni la Ureno
Waliozaliwa
hariri- 1610 - Papa Alexander VIII
- 1704 - Immanuel Kant, mwanafalsafa kutoka Prussia
- 1870 - Vladimir Lenin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti hadi 1924
- 1873 - Ellen Glasgow, mwandishi kutoka Marekani
- 1876 - Robert Barany, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914
- 1909 - Rita Levi-Montalcini, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986
- 1919 - Donald Cram, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 1922 - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 1939 - Jason Miller, mwandishi na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1940 - Damian Kyaruzi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1943 - Louise Glück, mshairi kutoka Marekani
- 1956 - Monica Ngenzi Mbega, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 296 - Mtakatifu Papa Caio
- 455 - Petronius Maximus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 536 - Mtakatifu Papa Agapeto I
- 1322 - Mwenye heri Fransisko wa Fabriano, padre Mfransisko kutoka Italia
- 1989 - Emilio Segre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 1994 - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-1974)
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Soter, Epipodi, Leonidas wa Aleksandria, Papa Caio, Maryahb, Papa Agapeto I, Leo wa Sens, Theodori wa Sykeon, Oportuna, Senorina n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |